- 3,933 viewsDuration: 1:10Utafiti uliofanywa na TIFA kuhusu pendekezo la serikali kuweka nauli ya chini kwa lazima kwa huduma za usafiri wa mtandaoni umebaini kuwa asilimia 60 ya waliohojiwa wangehamia kwa njia mbadala za usafiri iwapo nauli ingeongezeka kwa kiasi kikubwa.