- 5,082 viewsDuration: 3:19Ongezeko la idadi ya wavuvi limeathiri pakubwa sekta ya uvuvi Nchini Somaliland,na kusababisha kiwango cha samaki katika bahari ya Shamu kupungua kwa asilimia arobaini. Hali hiyo imewaweka wakazi wa eneo hilo kwenye hatari ya kukosa lishe. Laura Otieno anaangazia juhudi za serikali ya Somaliland ,kwa ushirikiano na wadau wengine, kuweka miundombinu itakayopunguza hatari hiyo.