- 473 viewsDuration: 2:47Uwindaji haramu watajwa kuwa tishio kwa ukuaji wa utalii kaskazini mwa nchi,serikali ikiwaonya wahusika wa matukio hayo kuwa kamwe hawatasazwa. Hayo yajiri katika maadhimisho ya muongo mmoja tangu kuasisiwa kwa hifadhi ya tembo ya Reteti Samburu mashariki.