14 Oct 2026 10:29 am | Citizen TV 343 views Duration: 2:29 Vijana 600, hususan wanawake wa umri wa chini katika aunti ya Kwale, wanatarajiwa kunufaika na mafunzo ya ujuzi wa kidijitali yanayolenga kuwasaidia kutumia mitandao ya kijamii kwa njia salama.