Skip to main content
Skip to main content

Vijana katika maeneo ya vijijini Kaunti ya Kirinyaga wapata mafunzo ya matumizi ya AI

  • | Citizen TV
    488 views
    Duration: 2:10
    Vijana katika maeneo ya vijijini Kaunti ya Kirinyaga waanza kupata mafunzo kuhusu matumizi ya akili bandia (AI), katika juhudi za kuwapa ujuzi wa teknolojia na kuwawezesha kutumia fursa zitokanazo na uchumi wa kidijitali