Skip to main content
Skip to main content

Vijana kutoka kaunti 10 wajadili changamoto za maisha kupitia mpango wa future 4 binti

  • | Citizen TV
    386 views
    Duration: 4:16
    Vijana kutoka kaunti 10 nchini wamepewa nafasi ya kueleza changamoto zinazowakabili katika kushiriki kikamilifu katika maamuzi yanayohusu maisha na mustakabali wao. Haya yameibuka wakati wa uzinduzi wa mpango wa 'Future 4 Binti' unaolenga kupambana na ukeketaji, ndoa za utotoni na mila nyingine zenye madhara.