- 146 viewsDuration: 2:01Vijana zaidi ya mia moja kutoka kaunti ya Turkana waliokuwa wamesajiliwa katika mradi wa NYOTA iliyozinduliwa mjini Eldoret na rais William Ruto, wamejitokeza kulalamika kuwa hawajapokea pesa walizoahidiwa ambazo ni shilingi elfu ishirini na mbili kwa simu zao kama ilivyotarajiwa.