24 Aug 2026 10:21 am | Citizen TV 286 views Duration: 1:41 Vuguvugu la Vijana Lamu linaunga mkono mradi wa kujengwa kwa kiwanda cha kusafisha mafuta, kinachotarajiwa kusafisha mapipa laki saba katika kaunti ya Lamu .