Skip to main content
Skip to main content

Vijana Nyamira wahamasisha usajili wa wapigakura

  • | Citizen TV
    226 views
    Duration: 2:01
    Kwa siku ya pili sasa vijana kutoka maeneo tofauti nchini wamepiga kambi katika kaunti ya Nyamira, kwenye kampeni ya kuwahimiza wakazi hasa vijana kujitokeza na kujisajili kuwa wapiga kura.