- 105 viewsDuration: 1:34Kutokana na matokeo ya utafiti ya msambao wa ugonjwa wa ukimwi uliobaini ongezeko ya ugonjwa huo haswa kwa wasichana na wavulana waliobalehe kaunti ya Turkana,mafunzo kwa vijana yamefanywa ili kuwahamasisha jinsi ya kujikinga.