Skip to main content
Skip to main content

Vijana wafanya usaili wa ajira za ughaibuni Ngong

  • | Citizen TV
    580 views
    Duration: 3:54
    ijana zaidi ya elfu tatu Kutoka kaunti ya kajiado wamekusanyika katika Chuo cha Kitaifa cha Uongozi wa Polisi, Ngong, kusaka fursa za ajira nje ya nchi, katika mpango unaolenga kupunguza ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana. Serikali imesema nafasi hizo zimehakikiwa, huku vijana wenye ujuzi wakitarajiwa kupitia mchakato rasmi wa usaili kabla ya kuajiriwa. Wacuka Kiarie ana mengi zaidi.