Skip to main content
Skip to main content

Vijana wanaounga mkono DCP wahimizwa kujisajili kama wapiga kura

  • | Citizen TV
    361 views
    Duration: 1:38
    Vugu vugu la vijana wanaounga mkono chama cha DCP eneo la Gusii limewarai maelfu ya vijana kujisajilia kama wapiga kura ili kuchangia ufanisi wa taifa kwa siku zijaazo.