- 278 viewsDuration: 1:58Baadhi ya vijana katika kaunti ya Kwale wakumbatia mbinu bunifu za kuhamasisha jamii na kuendeleza uhifadhi wa mazingira katika maeneo yao wakitumia teknolojia.Vijana hao watumia mifumo ya kidijitali na zana za ubunifu za mawasiliano kuwaelimisha wananchi kuhusu sababu na athari za mabadiliko ya tabianchi, huku wakihamasisha hatua za pamoja za kulinda mazingira.