16 Oct 2026 1:20 pm | Citizen TV 7,816 views Duration: 2:08 vijana zaidi ya 3,000 kutoka kaunti ya Kericho wamejitokeza kutafuta ajira katika duka jipya la kuuzia nguo la Wajosee Smart Wears mjini Kericho, ambalo litafunguliwa rasmi baada ya wiki mbili.