- 1,087 viewsDuration: 55sVinara wa upinzani kutoka vyama vya DCP, WIPER, DP miongoni mwa wengine hii leo wanafnaya mikutano ya kisaiasa katika maeneo tofauti eneo la ukambani. Kwa sasa viongozi hao wamekita kambi katika eneo la Matuu ambapo wameendelea kukosea serikali ya Rais Wiliam Ruto.