- 167 viewsDuration: 2:09Kikundi viongozi chipukizi cha Africa chaanza mchakato wa kuhamasisha mashirika katika kaunti ya Migori kuhusu njia muhimu za kutangamana na wanajamii hususan vijana kabla ya kuanza rasmi Kwa kampeni za uchaguzi mkuu mwakani.