Viongozi wa Kaunti ya Kajiado wamekosoa vikali mpango wa KWS wa kuweka uzio katika mbuga ya taifa ya Tsavo, wakisema hatua hiyo itaharibu njia za asili za uhamaji wa wanyamapori na kuathiri maisha ya wakazi wa eneo hilo.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya