- 4,868 viewsDuration: 1:23Kundi la viongozi wanaounga mkono Linda Mwananchi Kakamega wametishia kufanya maandamano Jumamosi hii kwa lengo la kushinikiza viongozi kutoka chama cha ODM katika kaunti hiyo na wale wa Nyanza kujitokeza kukashifu vurugu zilizotokea kaunti ya Homa Bay. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya