Baada ya Rais William Samoei Ruto kukutana na viongozi kutoka maeneo ya wafugaji na kuwataka wahakikishe wananchi wanajisajili na kupata vitambulisho vya taifa, viongozi wa eneo la Wajir Kaskazini wameanza kampeni ya kuhamasisha wakazi kutimiza agizo hilo.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya