Skip to main content
Skip to main content

Viongozi Laikipia watoa wito wa amani kabla ya uchaguzi

  • | Citizen TV
    170 views
    Duration: 1:21
    Huku wakenya wakijiandaa kushiriki katika uchaguzi wa mwaka ujao, viongozi katika kaunti ya Laikipia wametoa wito wa amani na uwiano haswa wakati huu ambapo wanasiasa wamekuwa wakitoa semi zinazowaelekeza wananchi kwenye migawanyiko ya kijamii.