25 May 2026 1:39 pm | Citizen TV 1,888 views Duration: 2:08 Viongozi wa sekta ya bodaboda nchini sasa wanapendekeza bunge ya Kenya kukusanya maoni ya umma ili kufanyia mabadiliko sheria inayodhibiti ushuru wa mafuta.