27 Jul 2026 1:20 pm | Citizen TV 4,011 views Duration: 1:15 Viongozi wa Chama cha Wiper Patriotic Front wamemtaka Rais William Ruto kumfuta kazi Waziri wa Afya, Aden Duale, kwa sababu ya matamshi aliyoyatoa ambayo wanadai yalikuwa ya uchochezi dhidi ya jamii ya agikuyu.