Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa dini na mashirika wataka amani na maadili katika uchaguzi

  • | Citizen TV
    447 views
    Duration: 1:32
    Viongozi wa Kidini, Wanasheria na mashirika ya sekta tofauti za bIiashara chini ya mwavuli wa kamati ya kujitolea ya Kipengee 10 cha Katiba wamefanya mkutano kunadi maadili na mazingira ya amani nchini wakidai kwamba ni sharti kipengee hicho cha Katiba kiangaziwe na kutiliwa maanani vilivyo.