9 Jun 2026 7:50 pm | Citizen TV 230 views Duration: 1:23 Viongozi wa dini mbalimbali wanaokutana jijini Nairobi kujadili mustakabali wa taifa wameeleza hatari kuhusu kuongezeka kwa uchochezi na misimamo mikali ya kisiasa kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.