- 314 viewsDuration: 1:26Viongozi wa kidini nchini wameendelea kushinikiza suluhu ya kudumu kwa visa vya utovu wa nidhamu shuleni. Makanisa mbalimbali kaunti ya Kisii yakijumuika kwa ibada maalum ya kuliombea taifa pia wakiwataka wanasiasa kukomesha siasa zinazozidisha joto la kisiasa nchini