- 581 viewsDuration: 2:08Matumizi ya dawa za kulevya yaendelea kuathiri vijana na kudhoofisha uwezo wao wa kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa taifa, huku wadau mbalimbali wakitaka mikakati maalum kuwekwa ili kuhakikisha vijana kote nchini wanapewa mafunzo kuhusu athari za mihadarati.