Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa kaunti ya Lamu waahidi kushirikiana kuhifadhi Ziwa Kenyatta

  • | Citizen TV
    750 views
    Duration: 1:59
    Viongozi wa Kaunti ya Lamu wameahidi kushirikiana katika juhudi za kuhifadhi Ziwa Kenyatta ili kuhakikisha kuwa chemchemi hiyo ya maji inaendelea kutumiwa na wakazi wa Mpeketoni na Viunga vyake .