Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa kaunti ya Uasin Gishu wakamilisha maandalizi ya sherehe za Mashujaa Dei

  • | Citizen TV
    2,845 views
    Duration: 1:54
    Maandalizi ya sherehe za kitaifa za mashujaa dei yamekamilika. Hayo ni kwa mujibu wa viongozi wa kaunti ya uasin gishu akiwemo gavana jonathan bii. Wakizungumza jijini eldoret kwenye kikao na wanahabari, viongozi hao wamewarai wananchi kujitokeza kwa wingi kuhudhuria sherehe hizo za kitaifa jumanne wiki ijayo.