- 2,219 viewsDuration: 2:32Viongozi wa kenya kwanza na wenzao wa odm waliendeleza kampenzi za kumpigia debe rais william ruto kuchaguliwa kwa awamu nyingine tena. Viongozi hao waliokuwa wakizungumza kule ,bungoma, malava na garissa vile vile walitumia fursa hiyo kuwarushia vijembe wapinzani kwa kukosa tajriba ya uongozi badala yake kuendeleza siasa za chuki na ukabila.