- 733 viewsDuration: 1:29Viongozi wa Kenya Kwanza wamemshutumu aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, kwa kile wamekitaja kuwa ni kueneza uchochezi na kuendeleza siasa za ukabila. Wakiongozwa na Spika wa Bunge la Taifa, Moses Wetang'ula, viongozi hao waliokuwa katika Narok County pia wamemtaka Gachagua kukoma kuwapotosha Wakenya kuhusu miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali.