- 11,438 viewsDuration: 1:48Siku moja tu baada ya Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro kutangaza rasmi kugura chama cha UDA na kuingia chama cha Peoples Party, viongozi wanaounga mkono serikali wamepuuza hatua hiyo wakisema ina msukumo wa kikabila. Wakizungumza eneo la Transmara, kaunti ya Narok, viongozi hao wanasema hatua ya Nyoro kugura UDA ulitokana na ubinafsi na ukabila. Haya yakijiri huku wanasiasa wa DCP wakizungumza kaunti ya Nyeri pia wakionekana kupuuza maamuzi ya Nyoro.