Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Kenya Kwanza watetea amri ya Ruto kuhusu wafanyabiashara wa kigeni

  • | Citizen TV
    3,326 views
    Duration: 2:56
    Viongozi wa Kenya Kwanza wametetea amri ya Rais William Ruto kuhusu raia wa kigeni wanaofanya biashara nchini. Wamesema wahamiaji wote sharti wajisajili na kufuata taratibu za sheria za uhamiaji ili kuruhusiwa kuendelea na shughuli zao nchini. Viongozi hao pia wamewataka Wakenya kukoma kuwavamia raia wa Burundi wanaofanya biashara nchini.