Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Kenya Kwanza watetea utendakazi wa serikali, wakosoa Askofu Ongijo na Uhuru Kenyatta

  • | Citizen TV
    1,264 views
    Duration: 3:41
    Viongozi wa Kenya Kwanza hii leo wameelekeza ghadhabu yao kwa Askofu wa kanisa la Kianglikana Jimbo la Kisumu kutoka na matamshi yake dhidi ya serikali ya Kenya kwanza wakisisitiza serikali inatekeleza majukumu yake. Wakizungumza kule Mosop kaunti ya Nandi viongozi hao pia walimshtumu Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta na viongozi wa upinzani wakisema wako tayari kukabiliana nao hata katika chaguzi ndogo zijaazo