20 Aug 2026 10:26 am | Citizen TV 312 views Duration: 5:21 Viongozi wa kidini, vijana pamoja na mashirika ya kijamii kaunti ya Kilifi waipongeza baraza la dini mbalimbali nchini IRCK kwa juhudi zake za kuhamisisha wakenya dhidi ya imani potovu na kuzua vurugu.