- 598 viewsDuration: 1:52Viongozi wa kidini wamewataka wanasiasa kutoka pande zote za kisiasa kujiepusha na matamshi ya uchochezi na kauli zinazoweza kuchochea joto la kisiasa kabla ya uchaguzi mkuu. Viongozi hao wanaonya kuwa matamshi ya aina hiyo yanaweza kuhatarisha umoja wa kitaifa na kulisukuma taifa katika machafuko ya kisiasa.