Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Lamu watakiwa kuondoa siasa katika mradi wa kiwanda cha mafuta

  • | Citizen TV
    1,164 views
    Duration: 2:52
    Viongozi wa Lamu wametakiwa kuondoa siasa katika mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta. Mradi huo unatarajiwa kuchangia katika uundaji wa nafasi nyingi za ajira kwa wakazi wa Lamu.