Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa linda mwananchi kufanya mkutano Nakuru

  • | Citizen TV
    18,386 views
    Duration: 2:04
    Wakaazi wa kaunti ya Nakuru wanaoegemea siasa za mrengo wa Linda mwananchi unaoongozwa na Katibu Mkuu wa Chama cha ODM Edwin Sifuna, wametaka wakaazi wa kaunti ya Nakuru kujitokeza Kwa wingi siku ya Jumapili .