Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa makanisa Narok Mashariki wataka barabara ya Mai Mahiu Ntulelei ipanuliwe

  • | Citizen TV
    334 views
    Duration: 1:36
    Viongozi wa makanisa kutoka wadi ya Kekonyokie eneo bunge la Narok Mashariki wametoa wito kwa serikali kupanua barabara kuu ya kutoka Mai mahiu kwenda Ntulelele na hasa hasa eneo la duka moja.