- 210 viewsDuration: 3:05Viongozi wa makanisa ya Kipentekoste kutoka eneo la Teso kaunti ya Busia wamelalamikia kupuuzwa na serikali ya Rais William Ruto kwa kutowashirikisha katika masuala ya maendeleo ya kitaifa na misaada ya serikali. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya