Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa ODM Samburu wawataka vijana kukataa kuchochewa kisiasa

  • | Citizen TV
    807 views
    Duration: 4:01
    Viongozi wa Chama cha ODM, Kaunti ya Samburu wametoa wito kwa vijana kukataa kutumiwa na wanasiasa kuzua vurugu na migawanyiko ya kisiasa. Viongozi hao pia wamepinga mfumo wa kutenga maeneo ya kisiasa kwa misingi ya vyama, na badala yake kutoa ushindani wa wagombea. Walizungumza mjini maralal wakati wa hafla ya kuwasha mishumaa ya ukumbusho wa aliyekuwa kiongozi wa ODM, hayati Raila Odinga.