25 May 2026 1:18 pm | Citizen TV 653 views Duration: 2:07 Viongozi wa Orange Democratic Movement wanakutana na wagombea wa nyadhifa mbalimbali kwa tikiti ya chama hicho jijini Kisumu kujadili masuala ya chama na mikakati ya kisiasa. Tusikilize yanayojiri.