- 6,869 viewsDuration: 2:44Baadhi ya viongozi wa ODM wamesema moja ya matakwa ya chama hicho katika mazungumzo na UDA kuelekea uchaguzi mkuu ujao ni Waziri wa Vyama vya Ushirika, Wycliffe Oparanya, kuwa mgombea mwenza wa Rais William Ruto. Wakizungumza katika eneo la Malava, Kaunti ya Kakamega, viongozi hao walisema Oparanya ana uwezo wa kuunganisha eneo la Magharibi na kuongeza uungwaji mkono wa Rais Ruto katika uchaguzi ujao. Kwa mujibu wao, uteuzi wa Oparanya kama mgombea mwenza unaweza kuimarisha ushawishi wa kisiasa wa muungano huo katika eneo la Magharibi. Willy Lusige ana taarifa zaidi.