13 Oct 2026 10:45 am | Citizen TV 1,820 views Duration: 1:37 Viongozi wa ODM na waliokuwa wafuasi wa marehemu Raila Odinga wanatoa wito kwa viongozi walio mamlakani kutekeleza mageuzi aliyoyapigania kwa muda mrefu.