Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Ruto wamshambulia Uhuru Kenyatta

  • | Citizen TV
    14,823 views
    Duration: 2:40
    Viongozi wanaomuunga mkono Rais William Ruto wameendelea kumshambulia Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, kwa kile wanachosema ni kufadhili upinzani kuyumbisha serikali. Wakizungumza katika hafla tofauti, Waziri wa Afya Aden Duale na Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula wameongoza mashambulizi hayo, wakimtaka Kenyatta kustaafu kwa amani.