Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa serikali wamkosoa Uhuru kwa kuhusishwa na siasa za upinzani

  • | Citizen TV
    2,532 views
    Duration: 2:29
    Viongozi wanaounga mkono serikali wamemkosoa rais mstaafu Uhuru Kenyatta kwa kile wanachodai ni kufadhili siasa za upinzani. Viongozi hao wa UDA na ODM, wakiongozwa na Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula, wanamtaka rais huyo mstaafu kuheshimu uamuzi wa mahakama unaomzuia kujihusisha na siasa baada ya kustaafu. Collins Shitiabayi ana taarifa zaidi.