9 Jun 2026 1:36 pm | Citizen TV 257 views Duration: 1:33 Viongozi wa kaunti ya Tana River na Garissa wamewataka wenzao wa kaunti jirani ya Kitui kukoma kuhujumu mipango za kuleta amani baina ya kaunti hizo kwa kuanzisha miradi ya maendeleo kwenye mpaka wenye utata.