Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa UDA wazidisha kampeni za Samuel Muchina katika uchaguzi mdogo wa Ol Kalou

  • | Citizen TV
    4,525 views
    Duration: 1:31
    Kampeni za uchaguzi mdogo wa Ol Kalou zimepamba moto viongozi wa UDA wakiongozwa na Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru wakizidisha juhudi za kumnadi mgombea wao Samuel Muchina, wakisisitiza kuwa uchaguzi huo ni nafasi ya kuendeleza miradi ya maendeleo katika eneo hilo.