Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa wauguzi na wakunga wataka tahadhari zaidi kukabiliana na Ebola

  • | Citizen TV
    427 views
    Duration: 51s
    viongozi wa chama cha wauguzi na wakunga wamewataka wahudumu wote wa afya kuwa makini zaidi kwenye kazi zao hasa baada ya mgonjwa mmoja kufariki kutokana na ugonjwa wa ebola nchini. wakizungumza mjini kisumu kuhusu hali ya hospitali ya mafunzo na rufaa ya Jaramogi Oginga Odinga, viongozi hao wanasema wameweka mikakati ya kudhibiti msambao wa ugonjwa huo hatari.