Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wamshtumu Uhuru kwa kuwapotosha wapinzani

  • | Citizen TV
    2,544 views
    Duration: 2:19
    Viongozi wa serikali Jumuishi wameendelea kumshtumu rais wa zamani uhuru kenyatta, sasa wakidai kuwa anawapotosha viongozi wa upinzani na kuwataka viongozi wanaosema wanafadhiliwa na kenyatta kujiepusha naye. wakizungumza katika kaunti ya Kakamega, viongozi hao wamewarai wakazi wa magharibi wasihadaiwe na ahadi hewa za wapinzani na badala yake wamuunge mkono Rais william ruto kwa awamu ya pili.