Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wanawake kutoka kaunti ya Homa bay walalamikia uhuni katika siasa

  • | Citizen TV
    295 views
    Duration: 2:41
    Baadhi ya viongozi wanawake kutoka kaunti ya Homa bay waelezea hofu yao kutokana na misururu ya ghasia za wahuni kwenye mikutano ya siasa. Hali hii wasema itaathiri pakubwa azimio la wanawake wengi wanaotaka kuwania viti mbalimbali vya uongozi.